NENO LA LEO: MUNGU HUTUONDOLEA FEDHEHA

NENO LA LEO: MUNGU HUTUONDOLEA FEDHEHA

NENO LA LEO:

Isaya25:8

“Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote;na aibu ya watu wake ataiondoa ktk ulimwengu wote;maana BWANA amenena hayo”

Je,kuna jambo lolote limewahi kukuliza mpaka ukatokwa na kwikwi?Usilie tena Mungu anaenda kukufuta machozi sasa!

Je,kuna jambo limewahi kukudhalilisha na kukutia aibu katika jamii inayokuzunguka mpaka ukajiona hufai?Mungu anaenda kukuondolea aibu hiyo sasa!

MUNGU ANAONDOA FEDHEHA

Sambaza Makala hii...Share on Facebook
Facebook
20Tweet about this on Twitter
Twitter
Share on LinkedIn
Linkedin
Share on Google+
Google+
0Email this to someone
email

Comments

comments