NENO LA LEO: TUSITOKE NJE YA IMANI PALE MAJIBU YANAPOCHELEWA

NENO LA LEO: TUSITOKE NJE YA IMANI PALE MAJIBU YANAPOCHELEWA

Luka12:45-46
“Lakini, mtumwa yule akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia kuja, akaanza kuwapiga wajoli wake … akila na kunywa na kulewa; bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyojua, atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wasioamini”

Tulitarajialo, likichelewa kuja tusikate tamaa na kutoka nje ya mstari na kuanza kufanya kinyume na imani. Avumiliaye mpaka mwisho ndiye atakaye okoka
TUVUMILIE
TUAMINI

Sambaza Makala hii...Share on Facebook1Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

Comments

comments